Karibuni kwenye maandalizi ya Kongamano la kimataifa la vijana lijulikanalo kama International Youth Conference (IYC) linalotarajiwa kufanyika mkoa Kilimanjaro
Kwa watu ambao wako Tanzania tumeandaa utaratibu wa kujisajili kwenye mkoa ulipo na walio nje ya nchi wanao utaratibu wao ambao wameshataarifiwa tayari
Kila mkoa una muwakilishi wetu na atakusaidia namna ya kujiandikisha na kufika kwenye Kongamano
Hapa chini zipo namba za wawakilishi wetu
Na kwa mkoa ambao namba hazipo basi utawasiliana nasi kwa namba zilizopo chini kabisa ili kupata maelekezo..!
Karibuni watu wote.
Njombe Region : +255 623 273 494 Ruvuma Region : +255 62 410 4481 Shinyanga Region : +255 655 236 390 Singida Region : +255 621 650 183 Songwe Region : +255 712 221 067 Tabora Region : +255 68 873 3494 Kinondoni Region : +255 68 321 3730 / +255 746 888 819 Ilala Region : +255 68 904 0846 Kahama Region : +255 754 924 015 Kenya Region : +254 790 135 948 Mkurugenzi mkuu Chuma Hunoa Chuma : +255 758 500 296 Mkurugenzi Mkuu Msaidizi Chuma Hunoa Chuma : +255 789 333 881